LENZI Podcast Trailer

LENZI Podcast with Michael Kamukulu

08-05-2023 • 1 min

Jifunze kupitia mijadala na maelezo yanayohusu mada mbalimbali ili upate ufahamu juu mienendo ya sasa katika nyanja na tasnia tofauti. Tunakupatia uchanmguzi wa takwimu rasmi katika kuleta uhalisia wa mada tunazozijadili. Uwe ni mmiliki wa biashara unayetaka kuboresha shughuli zako, mfanyabiashara unayetafuta kufungua mradi mpya, au mtu binafsi anayetaka kuongeza ufanisi wako, podcast yetu ina kitu kwa ajili yako kwako. Sikiliza ili uweze kujuzwa.