Ndoa Kuvunjika

Ndoa Kuvunjika

13-01-2023 • 1 hr 1 min

Ndoa nyingi na mahusiano mengi yanavunjika kisa tu mioyo migumu, Irene Kamugisha kakutana na Deo sukambi kuzungumza kuhusu Moyo Mgumu unavyoleta athari katika Mahusiano